Bila majaribio hakuna kutengeneza, ndio anapoteza hata 45' kapoteza kama mara 3 hivi. Lkn hakuna namna lazima kubreak defenceSasa awe anaangalia sehemu ya kupotezea mpira...Sio yupo kwenye nusu yake halafu kuna space nyingi za opposition kukimbia kufanya counter halafu yeye anapoteza mpira kijinga.
Acha mhemko, pira bado la moto.. tulia tucheki
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2:0Acha mhemko, pira bado la moto.. tulia tucheki
Hahaa mmepelekewa Moto mpaka mmekoma , niliwabia hapa ,nyie ni takataka Tu mbele ya wanaume WA kaz BayernMnachukua matakataka Chelsea rejects kama Christiansen na Alonso halafu mnajiona Uefa title contender ,ngoja kipindi cha pili muone mnavyopelekewa Moto
Barcelona nikama mbwa na chatu kwa Bayern, barcelona watarukaruka tu mwishowe wataachia tu,wameisha kubali kuwa vibonde kwa Bayern[emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2:0
Bado kimoja tumalize pakt ya roughrider[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahaaaa brokelona fcWazee wa Mali kauli munapakuliwa visamvu kimasikhara[emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787]
,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Leo tunampakata Bayern hapohapo sebuleni kwake. Sina wasiwasi kabisa!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] 2:0
Bado kimoja tumalize pakt ya roughrider[emoji28]
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbona unaumia sana?Barcenyeto bana bora uangalie connection ya uwoya tu
Baada ya kupakatwa ,kapakatwa yeye na kukojolewa chumbani mwake,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nashindwa kuelewa tumefungwaje hii gamePamoja na kufungwa lakini nimefurahishwa na mpira tuliocheza, last time tunakutana na bayern walitutawala total, leo tumewapigia mpira mwingi usio na papara, ni ubao tu ndio unasema vinginevyo.
Mpira sometimes una matikeo ya kikatili sana hasa kwenye hii tournament (UEFA),usipokuwa clinical golini kwa mpinzani opponent atapata chance atakuazibu ndo kilichotokea jana.Team played well ni lack of composure + kuwa clinical kule mbele.Bayern anafungika hope tunaweza kupata matokeo camp nou.Visca barca...Nashindwa kuelewa tumefungwaje hii game