FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Wanaweza kutunguliwa ndani ya Allienz wakatolewa. Bayern bado ni wazuri hasa kwao.
 
Goli la pili tamu sana,nafikiri hata Pep atakuwa ameshangilia
 
Bayern tatizo kule mbele Lewa hayuko fiti,utafikiri wanacheza pungufu
 
Unaangalia mechi lakini,hii second half Messi na Suarez walipotea Neymar ndio alikuwa anaonekana

Nimeanza kuangalia second half(Sijui first half ilivyokuwa) muda wote nimewaona wanakimbiza ngome ya BM sema walikuwa wanapoteana final 3rd... Ngome ya Bayern ilikuwa OK kabla ya goli la kwanza.
 
Messi ni hatari sana.

Ila kwa nini kwenye fainali za kombe la dunia alichemsha?

Huku anacheza mfumo tofauti na akiwa national team...

Halafu national team hawana vipaji kama Barca...

Na pia fainali walikutana na Germany iliyokuwa on fire...
 
Lionel Messi now has 77 Champions League goals - a new record and one more than Cristiano Ronaldo.
 
Huku anacheza mfumo tofauti na akiwa national team...

Halafu national team hawana vipaji kama Barca...

Na pia fainali walikutana na Germany iliyokuwa on fire...

Na Di Maria hakucheza siku hiyo kutokana na kuwa majeruhi....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…