Watu8
Platinum Member
- Feb 19, 2010
- 73,773
- 102,126
Barca vs Real Madrid = Final
Huyu kashauawa...hawezi kurudi tena game ya pili
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Barca vs Real Madrid = Final
Neymar na Messi wanalipa visasi kwa niaba ya mataifa yao leo...teh teh!!!
Barca vs Real Madrid = Final
Tofauti ya hizi timu ilikuwa ni moja tu... timu moja ilikuwa na Messi, Goli 2 assist 1
Shemeji Barca wananipa raha mumeo.... hata adha ya foleni siioni tena.
Mungu mbariki Messi.
#VarmosBarca , Asante sana Mungu kwa kujibu maombi yangu, asante sana Asprin kwa kuitikia Amen Mourinho asante kwa kuwa nami maombini mpaka ukuta wa Berlin ukaanguka.
Jitahidi honey maana zawadi yako leo ni hizo hizo tatu.......
Hii game ilishakuwa ngumu kwa Barca Messi akaamua kuimaliza mwenyewe,Pep ameiharibu sana Bayern nadhani now watakuwa wanamkumbuka yule babu Juup Heykens
ni kweli mkuu pep ameiharibu, siamini kama baryern imekua na beki laini kama hii
wakwanza MUNGUJitahidi honey maana zawadi yako leo ni hizo hizo tatu.......
Real Madrid watashinda kwao. Wanahitaji goli moja kuwaondoa Juventus Asprin, Watu8