Transcend
JF-Expert Member
- Jan 2, 2015
- 20,548
- 63,038
na dua ninayoomba madrid aingie final ije iwe elclassico[/QUOTE
RM tuchukue ndoo yetu eeh? hahaaaa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
na dua ninayoomba madrid aingie final ije iwe elclassico[/QUOTE
RM tuchukue ndoo yetu eeh? hahaaaa
barca plan B huwa mnaitoa wapi nyie.!?
Ukuta wa bayern leo umepwaya sana. Kama sio makosa ya washambuliaji wetu mpaka sasa tungekuwa tunahesabu 3 bila
Hongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.
Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Messi anapokuwa yupo fit. Messi kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.
Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
wakwanza MUNGU
wapil MTUME na YESU,watatu KING MESSI
Arsenal Vs ManUnited fainali,
Nimefurahi sana kuona Messi anadhihirisha ubora wake katika kuamua matokeo ya gemu...
Danny greeny
si mpaka tar 9 ifike mkuu,
na, si mpaka mcheze dakika 90 na mwisho mtufunge ..
anyway, Goodlucky..
Hongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.
Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Messi anapokuwa yupo fit. Messi kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.
Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
Boateng anapiga mzigo mbaya...
Umeihama timu yako Liverpool Na sasa uko Barc?
Suarez,Messi wamepotea kabisa.Barca inabidi waaply plan B