FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

aaaahhh kweli hamna shukurani pep kaiharibu timu toka aje keshachukua makombe mangapi kubalini tuu mmezidiwa

Hayo makombe ya nyumbani kuchukua ni kawaida kwa Bayern,tena wanabeba ligi ikiwa bado,haijaisha
 
Hii game ilishakuwa ngumu kwa Barca Messi akaamua kuimaliza mwenyewe,Pep ameiharibu sana Bayern nadhani now watakuwa wanamkumbuka yule babu Juup Heykens

Football philosophy ya yule babu ilikuwa poa sana .
 
Hongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.

Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Messi anapokuwa yupo fit. Messi kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.

Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
 
Last edited by a moderator:

Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Mesdi anapokuwa yupo fit. Messi I kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.

Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
kwa pamoja kabisa wapi walee waongea eti uefalona kudadekii
 
Bayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.

3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..

Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM
 
Huyo Real Madrid muangalie tarehe 9 atakapochezea kichapo toka kwa Valencia na kutuachia njia ya kuchukua la liga
 
Bayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.

3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..

Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM
na dua ninayoomba madrid aingie final ije iwe elclassico
 
Hongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.

Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Messi anapokuwa yupo fit. Messi kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.

Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.

Asante sana Ziroseventytwo kwa kweli Messi amenifurahisha sana sana lile goal la kwanza wakati mwenzake anadai penalt yeye akaamua afanye yake, kaja kunimaliza kwa furaha na goal la pili ile chenga alipiga watu chini oooooh Neymar naye akanifurahisha akamtuliza yule kipa vizuri akastua kidogo kisha kapiga acha kabisaa hivi vipaji vya kuzaliwa ni vingine kabisaa......

Bado maombi yangu yapo nanyi kutoka katika uvungu wa moyo wangu napenda nikuone fainaly kazi mliyoianza jana muimalize vyema pale Santiago.
 
Last edited by a moderator:
Bayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.

3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..

Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM

mpira wa leo umekuwa wa ujanja sana, berca walicheza kwa kuangalia speed ya wapinzani. kipindi cha mwanzo mpira ulukua slow sana, ila pep akaona aongeze speed na hapo ndipo berca walipozidi, ni mpira mzuri tumeangali sio wa kupaki basi. hata sub zilikua na malengo na sio zilizofanywa tu. leo pep amewezwa sana
 
Danny greeny

si mpaka tar 9 ifike mkuu,
na, si mpaka mcheze dakika 90 na mwisho mtufunge ..
anyway, Goodlucky..
 
Last edited by a moderator:
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???

barca plan B huwa mnaitoa wapi nyie.!?
 
Back
Top Bottom