Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nadhani David Luiz huko aliko anatabasamu.Boateng kala chenga hadi chini
Unaangalia mechi lakini,hii second half Messi na Suarez walipotea Neymar ndio alikuwa anaonekana
Messi ni hatari sana.
Ila kwa nini kwenye fainali za kombe la dunia alichemsha?
Goli la pili tamu sana,nafikiri hata Pep atakuwa ameshangilia
Haya sasa familia inashindana uwanjani huku rafinha kule thiago
Huku anacheza mfumo tofauti na akiwa national team...
Halafu national team hawana vipaji kama Barca...
Na pia fainali walikutana na Germany iliyokuwa on fire...
Mesayaaaaaaaaa