FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

#VarmosBarca , Asante sana Mungu kwa kujibu maombi yangu, asante sana Asprin kwa kuitikia Amen Mourinho asante kwa kuwa nami maombini mpaka ukuta wa Berlin ukaanguka.
 
Last edited by a moderator:
Tofauti ya hizi timu ilikuwa ni moja tu... timu moja ilikuwa na Messi, Goli 2 assist 1

Hii game ilishakuwa ngumu kwa Barca Messi akaamua kuimaliza mwenyewe,Pep ameiharibu sana Bayern nadhani now watakuwa wanamkumbuka yule babu Juup Heykens
 
#VarmosBarca , Asante sana Mungu kwa kujibu maombi yangu, asante sana Asprin kwa kuitikia Amen Mourinho asante kwa kuwa nami maombini mpaka ukuta wa Berlin ukaanguka.

Shemeji turudishe maombi kwa kibibi kizee cha Turin kabla ya kurudi nyumbani kuwaombea ndugu zetu kina Messi kwenye fainali.
 
Last edited by a moderator:
Hii game ilishakuwa ngumu kwa Barca Messi akaamua kuimaliza mwenyewe,Pep ameiharibu sana Bayern nadhani now watakuwa wanamkumbuka yule babu Juup Heykens

ni kweli mkuu pep ameiharibu, siamini kama baryern imekua na beki laini kama hii
 
2014 - 2015 | Champions League Top scorer

1. lionel Messi 10 Goals
2. Luiz Adriano 9 Goals
3. Christian Ronaldo 9 Goals
 
ni kweli mkuu pep ameiharibu, siamini kama baryern imekua na beki laini kama hii

aaaahhh kweli hamna shukurani pep kaiharibu timu toka aje keshachukua makombe mangapi kubalini tuu mmezidiwa
 
Real Madrid watashinda kwao. Wanahitaji goli moja kuwaondoa Juventus Asprin, Watu8
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…