mankachara
JF-Expert Member
- Sep 27, 2013
- 6,152
- 3,473
Real Madrid watashinda kwao. Wanahitaji goli moja kuwaondoa Juventus Asprin, Watu8
aaaahhh kweli hamna shukurani pep kaiharibu timu toka aje keshachukua makombe mangapi kubalini tuu mmezidiwa
Kipindi cha kwanza kuna watu humu walininyima raha sijui wamepotelea wapi.
Nipo mkuu, hahaaa
Hii game ilishakuwa ngumu kwa Barca Messi akaamua kuimaliza mwenyewe,Pep ameiharibu sana Bayern nadhani now watakuwa wanamkumbuka yule babu Juup Heykens
wakwanza MUNGU
wapil MTUME na YESU,watatu KING MESSI
Real Madrid watashinda kwao. Wanahitaji goli moja kuwaondoa Juventus Asprin, Watu8
kwa pamoja kabisa wapi walee waongea eti uefalona kudadekiiHongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.
Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Mesdi anapokuwa yupo fit. Messi I kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.
Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
Bayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.
3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..
Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM
na dua ninayoomba madrid aingie final ije iwe elclassicoBayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.
3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..
Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM
Hongereni chebi, Alerny, Belo, rubaman, Dada everlenk kwa ushindi huu mzuri. Hongereni wakatalunya wooote. Game ilikuwa nzuri kwa upande wenu ingawa kuna wakati kidogo mlipoteana.
Josep pep Guandiola alishawaambia kuwa so rahisi kumzuia Messi anapokuwa yupo fit. Messi kadhiirisha kuwa yeye ni level nyingine.
Kwa Mara nyingine tena. Hongereni saaaaana.
Bayern Hawezi kumfunga Barca goli 4 kwa 0 Allienz Arena..cz
1. system ya Pep umechange Mpira wa Bayern ambao motto yao ilikuwa ni "attacking" sasa hivi wanacheza show game.
2. Bayern Haina wings wanaweza kukimbia na mpira na kupiga cross, katika watapita wapi kwa kina Javier mascherrano? Labda ribery na robben km watakuwa fit, although Pep keshachange ile style yao ya kushambilia.
3 . Kilosi imara cha Barca, kipo fit toka nyuma hadi mbele..( kule mbele kuna vichwa vitatu hatari Sana)
4. Unstopped Leonel Messi, ni tatizo zaidi..Leo barca alishalala ila jembe likaamua game iishe vipi..
Kwaheri Bayern, naahamishia majeshi RM
huu ukuta wa berlin wa Bayern naona umefungwa vilivyo- lakini barca watapenya tu kama vipi plan b and c zitakuwa triggered- lazima wakae kando. Madrid mnaona wanaume wanavyotandaza ball???