FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hatuna lingine tunalolijua kwasasa zaidi ya Barca for final match...Barca for UCL Cup..... Karibu ushuhudie mtanange wa nguvu wa Barca akienda fainal.
 
Hatuna lingine tunalolijua kwasasa zaidi ya Barca for final match...Barca for UCL Cup..... Karibu ushuhudie mtanange wa nguvu wa Barca akienda fainal.

Ni kweli mamito. Munich ingekua chini ya Jose Mourinho ningesema Leo Barca atapata shida lkn kwa Pep Guadiora uwezo wake si mkubwa sn hawezi kuisukuma Barc nje ya UCL leo. Yani km atafanya hivyo basi itakua miujiza sn.

Naona fainal Fc Barcelona na Real Madrid. Juve kesho hana chake ata Mourinho anajua hilo.
 
Last edited by a moderator:
Tutampuguzia Madrid magoli ili aongeze tuweze kukutana naye fainali...
 
Ntuzu hapa natofautiana na wewe, kesho Madrid anakaa. Kesho itakuwa si mchezo kaka.
 
Last edited by a moderator:
Bayern leo watajitia kushambulia kwa nguvu zote ila hapo ndipo watakapo kula kichapo
 
Mechi ya mwanzo nuer kipindi cha mwanzo alikua anapoteza mda sana alitaka kuifanya mechi itoke droo ili pale Bayern waje kutupiga lakini wapiiii
 
Sasa leo mpira ukitoka tuu secunde haichukui wataurudisha uwanjani lakini hawatoki
 
Sasa leo mpira ukitoka tuu secunde haichukui wataurudisha uwanjani lakini hawatoki

tunawapiga mbili za fastafasta alafu tunapiga gonga kisha tunamalizia na mbili baada ya hapo tunawaongezea na kimoja cha kidali poo ili ziwe 8 kabisa
 
Fainal ni Barca na Juve babito. . . ...
 
Last edited by a moderator:
Line-up confirmed:
Ter Stegen, Piqué, Rakitic, Sergio, Iniesta, Suarez, Messi,
Neymar, Mascherano, Alba and Alves
 
Fainal ni Barca na Juve babito. . . ...

Utakubali kesho maneno yangu mamito. Ni Spain tena kwa fainali mwaka huu. Siioni nafasi ya juve kupita kesho kwasababu ata goli moja bila linawabeba Madrid!
 
tumebakiwa na dakika 21 mtanange kuanza kaeni mkao wa kula aleyn everlink PNC1 we are ready we are together
 
tumebakiwa na dakika 21 mtanange kuanza kaeni mkao wa kula aleyn everlink PNC1 we are ready we are together

Guadiora kasema timu Yake itacheza kufa Na kupona ngoja tuone miujiza.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…