everlenk
JF-Expert Member
- Oct 5, 2012
- 11,628
- 15,027
Mchezo utakua mgumu sn Leo ingawa naona nafasi ya Munich ni ndogo sana ktk kwenda fainali kwasababu Munich waliruhusu magoli mengi sn pale camp nou! Munich anaweza kushinda leo lkn sio goli nyingi sn na km itapindua matokeo na Munich kuingia fainali basi huu utakua muujiza Wa mwaka.
Hatuna lingine tunalolijua kwasasa zaidi ya Barca for final match...Barca for UCL Cup..... Karibu ushuhudie mtanange wa nguvu wa Barca akienda fainal.


