FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

If u can not define law then u can not define messi,,,,bonge la pasi
 
Bayern kwisne, kupata goli 5 ndani ya dk 66 ni ngumu mno
 
huu utatu wa Messi,Suarez na Neymar unawapa faida sana Barca,hawa vijana wapo safii
 
  • Thanks
Reactions: BAK
HII mechi Bayern atataka ku park kwenye goal la Barca,ata commit watu mbele-punde akifanya hivyo huku nyuma kutakuwa na gaps kibao-sipati picha hapo Neymar,Messi na Suarez watamfanya kitu gani? ukitaka kuona end to end stuff basi hii mechi sio ya kukosa kuangalia
nilisema Bayern ataji commit-na ndio downfall yake
 
30' Mins Bayern 1 Barca 2 | Agg (1-5)

Benatia 7'Mins (bayern)
Neymar 15'Mins , 29' Mins (Barcelona)
 
guardiola mimi namuogopa kuliko mourinho kwanza pep hana maneno mengi ila mourinho anaongea sana vitendo kidogo

heli ya mourinho anajua anacho kifanya kuliko hawa leo,wakijitaidi leo watafungwa 4 na kadi nyekundu juu...
 
Back
Top Bottom