FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Suarez ameonyesha dunia kuwa mpira ni hesabu na sio ushindani kama ronaldo na bale wanavyofanyiana. Assist zote za magoli katoa yeye huku akiwa ana uwezo wa kufunga. Jamaa yuko unselfish sio kama kule kwa majirani
 
36' Mins Bayern 1 Barca 2 | Agg (1-5)

Benatia 7'Mins (bayern)
Neymar 15'Mins , 29' Mins (Barcelona)
 
44' Mins Bayern 1 Barca 2 | Agg (1-5)

Benatia 7'Mins (bayern)
Neymar 15'Mins , 29' Mins (Barcelona)
 
Ever aleyn mpooooooo

Nipo chebi maombi yangu Neymar aondoke na hat trick yake na kaka Messi aingize naye yake apalilie kitu chake.......


Ila wangu sifurahii sana ulinzi wetu uko dhaifu kidogo..........
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom