Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Half Time | Bayern 1 Barca 2 | Agg (1-5)
Benatia 7'Mins (bayern)
Neymar 15'Mins , 29' Mins (Barcelona)
Benatia 7'Mins (bayern)
Neymar 15'Mins , 29' Mins (Barcelona)
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah Barcelona Goalkeeper leo ndio anayeibeba team
Nipo chebi maombi yangu Neymar aondoke na hat trick yake na kaka Messi aingize naye yake apalilie kitu chake.......
Ila wangu sifurahii sana ulinzi wetu uko dhaifu kidogo..........
Duh ila hata Bayern nao siyo wabaya kihivyo. Kipa wao leo ana siku nzuri ofisini
hawa ni Bayern,hata mechi ya kwanza possession zilipotea sana cause Bayern are goodI hate the way rakitic is loosing possesion
Benatia na BOATENG leo kazi wanayooooo
Si rahisi kabisa naona mabingwa wa UEFA ni BARCA mwaka huu.
sio kipa tuu,kwa mimi naona kazi waliotumwa wameifanya.
kwa heriiiii Buyern,Neymar ana hasira na zile saba kipindi cha world cup 2014,maana aliikosa ile mechi
Nauliza hili gaol la pili la Bayern wadau huku napata shida kulielezea
Haleluyaaaaaaaaaaa
Nauliza hili gaol la pili la Bayern wadau huku napata shida kulielezea
Shem.... asipufunga Messaya sitaangalia fainali Vs Juventus
Ndo maana yakeKwahiyo analipizia huku...! Hahaha...