Si rahisi kabisa naona mabingwa wa UEFA ni BARCA mwaka huu.
kwa heriiiii Buyern,Neymar ana hasira na zile saba kipindi cha world cup 2014,maana aliikosa ile mechiHahahaha hilo ni imaginary applicable only kama watatoa draw.
Kweli BAK, huo utatu wa'MSN' ni extremely lethal
Ndo hivyo lazima lihesabike ki imaginary hivyo hivyo,Kwa heri BavariaHahahaha hilo ni imaginary applicable only kama watatoa draw.
Benatia na BOATENG leo kazi wanayooooo
Dah Barcelona Goalkeeper leo ndio anayeibeba team