Danny greeny
JF-Expert Member
- Feb 6, 2014
- 3,856
- 1,648
Mashambulizi ya Barca yanapitia kulia na machache ktkt, na kwa kuwa Neymar anatokea kushoto ni rahisi kwake kufunga
Suarez katoka game limepoa
Mascherano anafanya uzembe sana
Sasa Neymar atafungaje tena,maana Utatu umevugika sasa.
Kwa nini wamemtoa
Bado haijaisha,bado dk 20Game bado haijamalizika?
Game bado haijamalizika?
Barca imecheza mechi 36 la liga... imefungwa magoli 16 tu.
Kweli itakuwa haina beki nzuri kwa kuwa ndio timu iliyofungwa mabao machache zaidi
Bado Barca anahitaji bao lingine... .