FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Kwa kweli naomba sana afunge yake aongeze idadi ya magoli ......Shem nafurahi tupo pamoja

Shemeji utanidai...

Kesho nawatakia kila la kheri Juventus.... lazima bibi aheshimiwe... katuzalia mama.
 
furaha imenipungua ever kwa kufungwa hii gem tumeruhusu magoli ya kizembe

Usijali sana wangu kikubwa tumepita hayo mengine tutafanya next season, hali ilikuwa tia maji tia maji hasa hiki kipindi cha pili baada ya Suarez kutolewa.......BTW kisasi tumekilipa na historia tumeivunja huu uwanja wao huwa siyo kwetu.......
 
Shem strategy ni kumhifadhi kwa ajili ya fainali.

Sawa lakini ilikuwa mapema sana angemuacha kwanza ausome mchezo unakwendaje.... Shem hiki kipindi cha pili hali ilikuwa mbaya sana hapa nimechoka utafikiri nilikuwa shughulini...... Lol
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…