FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

furaha imenipungua ever kwa kufungwa hii gem tumeruhusu magoli ya kizembe

Usijali sana wangu kikubwa tumepita hayo mengine tutafanya next season, hali ilikuwa tia maji tia maji hasa hiki kipindi cha pili baada ya Suarez kutolewa.......BTW kisasi tumekilipa na historia tumeivunja huu uwanja wao huwa siyo kwetu.......
 
Shem strategy ni kumhifadhi kwa ajili ya fainali.

Sawa lakini ilikuwa mapema sana angemuacha kwanza ausome mchezo unakwendaje.... Shem hiki kipindi cha pili hali ilikuwa mbaya sana hapa nimechoka utafikiri nilikuwa shughulini...... Lol
 
Back
Top Bottom