hivi mkuu kama Xavi angekuwa hasugui benchi toka huyu kocha aje hv angeondoka kweli?
Wenzetu wazungu huwa wanajali sana maslahi ya timu. Xavi anaondoka ili kuepusha Jahazi lisizame, ameamua aondoke zake kwa heshima, uwezo wake wa kucheza Barca ndo umefikia tamati.
Hata Alves na yeye anakaribia kuondoka ila mpaka apatikane anayeweza kucheza namba yake vizuri kama namba ya Xavi ilivopatikana. Ikipatikana na yeye ataenda tuu.
Andres Iniesta na Messi wakija kuondoka Barca nitahuzunika sana.
Vamos Vamos Barca...... Leo tunamaliza ligi kwa heshima, Deportivo watapiga gwaride la heshima...... Sasa akili yote tarehe 30 na 6 tu.....
Vamos Vamos Barca...... Leo tunamaliza ligi kwa heshima, Deportivo watapiga gwaride la heshima...... Sasa akili yote tarehe 30 na 6 tu.....
Nawaonea huruma Deportivo. Jaman mkiwafunga wanashuka daraja coz wale wengine wawili lazima mmoja atashinda tu. Msiwafunge aisee
Xavi Hernandez na Tomas Vermalen wataanza Game ya leo.
Cha msingi ni kucheza vizur kuepusha majeruhi
Kama magoli ya mapema yataingia hope kocha atayatoa majembe mapemaa.....
Ila lile ni jembe sana
uhai wa pep huyu asingaliondoka abadanhivi mkuu kama Xavi angekuwa hasugui benchi toka huyu kocha aje hv angeondoka kweli?
hahhaaaaa ingalikua tuko kwao tungaliwaachia ila camp nou tena ndio last game on season heshima lazima itunzwe watatuwiya radhiLabda itokee tu morali ya wachezaji ipungue lakini kuweka heshima zaidi hatuna budi point 3 ziongezeke.
wababe wa AC Milan (AC Milan alikula 4-0 kwa hawa wote alipotua nchini Spain)wanakutana leo ktk la liga,wajanja wameshajua nazungumiza timu gani lol
kikoso ambacho kitakabiliana na deportivo la corunya leo ni
GK Bravo, Masip,
DEFENDER. Montoya, Adriano, Alba,Mathieu, Bartra, Mascherano, Vermaelen, Douglas,
MIDO .Xavi, Iniesta, Sergi Roberto,
FORWARD Rafinha, Pedro, Munir, Neymar Jr et Messi.