FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

hivi mkuu kama Xavi angekuwa hasugui benchi toka huyu kocha aje hv angeondoka kweli?

Wenzetu wazungu huwa wanajali sana maslahi ya timu. Xavi anaondoka ili kuepusha Jahazi lisizame, ameamua aondoke zake kwa heshima, uwezo wake wa kucheza Barca ndo umefikia tamati.
Hata Alves na yeye anakaribia kuondoka ila mpaka apatikane anayeweza kucheza namba yake vizuri kama namba ya Xavi ilivopatikana. Ikipatikana na yeye ataenda tuu.
Andres Iniesta na Messi wakija kuondoka Barca nitahuzunika sana.
 
Daah yani sipatii picha itakuwaje wakijaondoka
 
Vamos Vamos Barca...... Leo tunamaliza ligi kwa heshima, Deportivo watapiga gwaride la heshima...... Sasa akili yote tarehe 30 na 6 tu.....

Nawaonea huruma Deportivo. Jaman mkiwafunga wanashuka daraja coz wale wengine wawili lazima mmoja atashinda tu. Msiwafunge aisee
 
Labda itokee tu morali ya wachezaji ipungue lakini kuweka heshima zaidi hatuna budi point 3 ziongezeke.
 
hahhaaaaa ingalikua tuko kwao tungaliwaachia ila camp nou tena ndio last game on season heshima lazima itunzwe watatuwiya radhi
 
pale camp nou leo kutavaliwa t-shirt maalum kwa ajili ya kumuaga jembe letu xavi hernandez

respect xavi 6
pic_2015-05-22_ENTRENO_03-Optimized.v1432292762.JPG830036-20499102-1600-900.jpg
 
kikoso ambacho kitakabiliana na deportivo la corunya leo ni
GK Bravo, Masip,
DEFENDER. Montoya, Adriano, Alba,Mathieu, Bartra, Mascherano, Vermaelen, Douglas,
MIDO .Xavi, Iniesta, Sergi Roberto,
FORWARD Rafinha, Pedro, Munir, Neymar Jr
et Messi.
 
Xavi daaah huyu jamaa aisee kuondoka kwake kunaniumiza moyo
 
Ronaldo
 
Attachments

  • 1432386176039.jpg
    1432386176039.jpg
    51.1 KB · Views: 83
  • 1432386190616.jpg
    1432386190616.jpg
    28.7 KB · Views: 82
wababe wa AC Milan (AC Milan alikula 4-0 kwa hawa wote alipotua nchini Spain)wanakutana leo ktk la liga,wajanja wameshajua nazungumiza timu gani lol
 
ha ha ha ha ha ha ha
 
kikoso ambacho kitakabiliana na deportivo la corunya leo ni
GK Bravo, Masip,
DEFENDER. Montoya, Adriano, Alba,Mathieu, Bartra, Mascherano, Vermaelen, Douglas,
MIDO .Xavi, Iniesta, Sergi Roberto,
FORWARD Rafinha, Pedro, Munir, Neymar Jr
et Messi.

Hivi chebi Vermaelen si ndo mechi yake ya kwanza tokea aje Barca? Suarez bado hajapona?

Wadau naombeni updates zenu bado niko kwenye pilika za maisha.
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom