hivi mkuu kama Xavi angekuwa hasugui benchi toka huyu kocha aje hv angeondoka kweli?
Wenzetu wazungu huwa wanajali sana maslahi ya timu. Xavi anaondoka ili kuepusha Jahazi lisizame, ameamua aondoke zake kwa heshima, uwezo wake wa kucheza Barca ndo umefikia tamati.
Hata Alves na yeye anakaribia kuondoka ila mpaka apatikane anayeweza kucheza namba yake vizuri kama namba ya Xavi ilivopatikana. Ikipatikana na yeye ataenda tuu.
Andres Iniesta na Messi wakija kuondoka Barca nitahuzunika sana.

