FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

pamoja mkuu ila unaposema amefikishwa tena mahakamani na taarifa imekuja saivi haikuja jana tutajua messi amefikishwa mahakani leo na hiyo picha itamaanisha leo ndio messi kafikishwa mahakamani nafikiri umenielewa
ukisema amefikishwa inamaana ni yee mwenyewe amepelekwa kiswahili ni lugha yetu tukizungumze ipasavyo
 
Pamoja Mkuu, ila Messi ni brand kama Pepsi, Apple au Sony, ni zaidi ya jina la mtu. Ukisikia ametajwa sehemu linaweza kuwa ni brand limetajwa sehemu hiyo sio mpaka yeye mwenyewe awepo.
 
kamessi kahuni. kanaogopa kukosa msaada ambao alves anakapa kwenye winga harafu kanasingizia kujali feeling za alves.
 
Ni kigezo gani kimemfanya Lionel Mess( Lion, the Messiah) kuwa kwanza katika Score board , kwa nini asiwe Neymar jr au CR7? Kwa anaejua tafadhali msaada!

Kwa sababu Messi ni "player of the century"-Pele. Ila sio ishu, maana Messi, Neymar na Ronaldo kila mmoja amepewa kiatu cha dhahabu. Messi kwa mara tano sasa, Neymar kwa mara ya kwanza na Ronaldo kwa mara ya nne.
 
Ni kigezo gani kimemfanya Lionel Mess( Lion, the Messiah) kuwa kwanza katika Score board , kwa nini asiwe Neymar jr au CR7? Kwa anaejua tafadhali msaada!
Kwa sababu thamani yake ni mara2 karibia na nusu ya Ronado istoshe ndio anaetegemewa kuchukua balon dor
 
vipi kuhusu suarez na timu ya taifa atacheza copa america au bado kuna bani tena ile ishu ya kumngata manake hawakawii fifa
 
vipi kuhusu suarez na timu ya taifa atacheza copa america au bado kuna bani tena ile ishu ya kumngata manake hawakawii fifa

Hachezi mkuu, bado mechi nane za kimataifa kati ya tisa alizofungiwa. Atamiss copa.
 
Kwa sababu thamani yake ni mara2 karibia na nusu ya Ronado istoshe ndio anaetegemewa kuchukua balon dor

Silvio Berlusconi:
“I’ll start investing again, €150m? We’ll spend whatever is necessary, Milan a part of my heart”
 
Silvio Berlusconi:
“I’ll start investing again, €150m? We’ll spend whatever is necessary, Milan a part of my heart”
jipeni moyo maana mlishaanza kushangilia kuwa mtamsajili dani alves sasa nyie timu ya vikongwe mtatumia hata paun mil 500 ila daima sahauni kuwa mtatsha kama barca
 
Messi, mchezaji mwenye sifa adimu sana na ya kipekee, kasi yake huongezeka pindi anapokua na mpira miguuni kuliko anapokimbia akiwa hana mpira!!!! Hongera dani, hongera Enrique kwa kukubali kuendelea kutumika. Mafanikio mema kwa majeshi yote yaliyo copa amerika.
 
VISCA el BARCA
 
kuna shabiki mmoja wa chelsea kashaanza kusema eti ballon d' or anaetazamiwa kuichukua mwaka 2015 ni eden hazard jamani kweli inaingia akilini hiyo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…