Jack Daniel's
JF-Expert Member
- May 18, 2015
- 1,008
- 835
hii picha sio ya leo messi yuko agentina tayari kwa mashidano ya copa america hilo la kodi sikubishii
Hiyo picha ni mara ya mwisho alivyoenda mahakamani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hii picha sio ya leo messi yuko agentina tayari kwa mashidano ya copa america hilo la kodi sikubishii
pamoja mkuu ila unaposema amefikishwa tena mahakamani na taarifa imekuja saivi haikuja jana tutajua messi amefikishwa mahakani leo na hiyo picha itamaanisha leo ndio messi kafikishwa mahakamani nafikiri umenielewa
ukisema amefikishwa inamaana ni yee mwenyewe amepelekwa kiswahili ni lugha yetu tukizungumze ipasavyo
Messi tops scoring record for UEFA
kamessi kahuni. kanaogopa kukosa msaada ambao alves anakapa kwenye winga harafu kanasingizia kujali feeling za alves.Messi alimshawishi Dani Alves kubaki Barcelona
Messi said to me: 'Dani, stay, where you are going to feel better than you do here?'"
"As I said at the treble celebration [on Sunday], and as I said many times before, I'm just in the place where I feel loved.
"For a few moments I had doubts but the other day it was very clear that most people here love me and value me, and that was one of the things that made me decide to stay.
"I always follow my heart. My heart was asking me to stay here and I still have many things to offer.
"I have the best group of colleagues, I have never seen a group with such connection and that helped in making the decision.
Ni kigezo gani kimemfanya Lionel Mess( Lion, the Messiah) kuwa kwanza katika Score board , kwa nini asiwe Neymar jr au CR7? Kwa anaejua tafadhali msaada!
Ni kigezo gani kimemfanya Lionel Mess( Lion, the Messiah) kuwa kwanza katika Score board , kwa nini asiwe Neymar jr au CR7? Kwa anaejua tafadhali msaada!
kamessi kahuni. kanaogopa kukosa msaada ambao alves anakapa kwenye winga harafu kanasingizia kujali feeling za alves.
Kwa sababu thamani yake ni mara2 karibia na nusu ya Ronado istoshe ndio anaetegemewa kuchukua balon dorNi kigezo gani kimemfanya Lionel Mess( Lion, the Messiah) kuwa kwanza katika Score board , kwa nini asiwe Neymar jr au CR7? Kwa anaejua tafadhali msaada!
vipi kuhusu suarez na timu ya taifa atacheza copa america au bado kuna bani tena ile ishu ya kumngata manake hawakawii fifa
ishu imeshaishaMessi afikishwa tena mahakamani kwa ile ishu ya kodi ambayo waendesha mashtaka wa Barcelona walishashindwa kutoa ushahidi.
![]()
vipi kuhusu suarez na timu ya taifa atacheza copa america au bado kuna bani tena ile ishu ya kumngata manake hawakawii fifa
Kwa sababu thamani yake ni mara2 karibia na nusu ya Ronado istoshe ndio anaetegemewa kuchukua balon dor
jipeni moyo maana mlishaanza kushangilia kuwa mtamsajili dani alves sasa nyie timu ya vikongwe mtatumia hata paun mil 500 ila daima sahauni kuwa mtatsha kama barcaSilvio Berlusconi:
Ill start investing again, 150m? Well spend whatever is necessary, Milan a part of my heart
Messi, mchezaji mwenye sifa adimu sana na ya kipekee, kasi yake huongezeka pindi anapokua na mpira miguuni kuliko anapokimbia akiwa hana mpira!!!! Hongera dani, hongera Enrique kwa kukubali kuendelea kutumika. Mafanikio mema kwa majeshi yote yaliyo copa amerika.