kuna shabiki mmoja wa chelsea kashaanza kusema eti ballon d' or anaetazamiwa kuichukua mwaka 2015 ni eden hazard jamani kweli inaingia akilini hiyo
mkuu anzisha tupo tayari ila pasiwe na matusi na pia sijui litakua kivipi hilo group lisije kua group tu la kuisifu chelseaHodi mabingwa Wa ulaya!
Kuna group tunataka kuanzisha Jf soccer tunaomba ushirikiano wenu km wapenzi Wa soccer. Ntatoa no zangu za simu ili tuweze kuwasiliana!
mkuu anzisha tupo tayari ila pasiwe na matusi na pia sijui litakua kivipi hilo group lisije kua group tu la kuisifu chelsea
bangi za kuvutia vichochoronikuna shabiki mmoja wa chelsea kashaanza kusema eti ballon d' or anaetazamiwa kuichukua mwaka 2015 ni eden hazard jamani kweli inaingia akilini hiyo
bangi za kuvutia vichochoroni
Mkuu tunawahitaji ktk Kundi la Jf football fans
kama kawa mkuu nielekeze ili nijue mashart ya kuungwa
kama kawa mkuu nielekeze ili nijue mashart ya kuungwa
linafaida gani hilo kundi? acheni kucomplicate mambo.Nakutumia no zangu za simu utanicheki mkuu
linafaida gani hilo kundi? acheni kucomplicate mambo.
linafaida gani hilo kundi? acheni kucomplicate mambo.
hilo kundi litakuwa fujo maana kila mtu anateam yake. makundi ya dizaini hiyo huwa hayalast.hakuna kitu chenye faida kikakosa hasara vilevile chenye hasara kikakosa faida
hilo kundi litakuwa fujo maana kila mtu anateam yake. makundi ya dizaini hiyo huwa hayalast.
TEVES: ASIYEMKUBALI MESSI, HAJUI CHOCHOTE KUHUSU MPIRA
TEVES: ASIYEMKUBALI MESSI HAJUI CHOCHOTE KUHUSU MPIRA ~ michezo365