na hata akibeba copa america utakuja na visingizio vyengine tushawazoea
usimuite pimbi sababu huyo ni kiboko ya makipaMchezaji gan mnaesifia anashndwa kuibeba national tm japo ubingwa wa copa amerika tu lkn nyie mnazd kumtukuza kua etii ni bora wakati bora n kina watakatifu gaucho dona Pele ambao walizbeba tmu zao za taifa tofauti na uyu pimbi mnaempa sifa
usimuite pimbi sababu huyo ni kiboko ya makipa[/QUOTE
Kufunga sio kpmo cha ubora wa MTU mbna Lambert anafunga na kiboko ya makipa nae pia ni bora:what:
usimuite pimbi sababu huyo ni kiboko ya makipa
mkuu lambert anawafunga wachovu wenzie kwanza huyo ndio mdudu gani MESSSSI NI MASHINE NYINGINEusimuite pimbi sababu huyo ni kiboko ya makipa[/QUOTE
Kufunga sio kpmo cha ubora wa MTU mbna Lambert anafunga na kiboko ya makipa nae pia ni bora:what:
mkuu lambert anawafunga wachovu wenzie kwanza huyo ndio mdudu gani MESSSSI NI MASHINE NYINGINE
Yafaa tutambue mess ajafkia levo za kuitwa gwiji lkn nyie mnapiga kelele kanakwamba ashafkia levo za kuitwa gwiji
gwiji ni yupi mkuuYafaa tutambue mess ajafkia levo za kuitwa gwiji lkn nyie mnapiga kelele kanakwamba ashafkia levo za kuitwa gwiji
messsi.majina mazur yote yake chipukiz king legendary gwiji mzee wa vidimbwi n.k MKUU WEWE UMENISHINDWA WASAP KULEYafaa tutambue mess ajafkia levo za kuitwa gwiji lkn nyie mnapiga kelele kanakwamba ashafkia levo za kuitwa gwiji
KUNA KINA NTUZU je hapa NOU CAMP utawezaaaaa????
messsi.majina mazur yote yake chipukiz king legendary gwiji mzee wa vidimbwi n.k MKUU WEWE UMENISHINDWA WASAP KULE
KUNA KINA NTUZU je hapa NOU CAMP utawezaaaaa????
Kule mnanichangania mada lkn tambua mess bado ajafikia levo za kuitwa gwiji
gwiji ni yupi mkuu
Mbka gwiji utambui vigezo vyake daah yafaa nitoe darasa upya kwa mashbk wa barca
NDIO UKA ULIZWA MKUU ILI AWE GWIJI AWE VIPENGELE GANI AWE NAVYOMbka gwiji utambui vigezo vyake daah yafaa nitoe darasa upya kwa mashbk wa barca
Huyu@wembeee lazima atakuwa product ya shule za kata
na tevez juz kasema ukimchukia messi hujui mpira kwa wenye uelewa wataelewa kuwa kabla ya kuufatilia mpira MPENDE KWANZA.MESSIWee mtu akianza kumsema messi mwache tuu yule jamaa haongei yee ni vitendo tuu hilo lina juulikana ila kwa wale wanao jua soka si humu jf watu wanao ongelea ki ushabiki wa timu zao na ukiangalia sana utagunduo ni timu ambazo messi ameshasha ziumiza sasa hua hawana sababu za kuongea wanakuja na porojo tu yule anasema messi hafanyi kitu kwenye national team yule sijui anabebwa na xavi mara dani anambeba mara uefalona eti hajachukua world cup lakini amefika final kuna siku watamkubali baadhi yao wamesha mkubali pengine akianza kuja kucheza katika timu zao wanaweza wakamkubali
Mchezaji gan mnaesifia anashndwa kuibeba national tm japo ubingwa wa copa amerika tu lkn nyie mnazd kumtukuza kua etii ni bora wakati bora n kina watakatifu gaucho dona Pele ambao walizbeba tmu zao za taifa tofauti na uyu pimbi mnaempa sifa
na tevez juz kasema ukimchukia messi hujui mpira kwa wenye uelewa wataelewa kuwa kabla ya kuufatilia mpira MPENDE KWANZA.MESSI
Sasa hivi wanaocheza Nani gwiji hivi?halafu ngoja nikuulize Eusobio/cryuf walikuwa magwiji au?
Daah vyanzo vyako vya habari vinaniacha hoi