wembeee
JF-Expert Member
- Jan 16, 2015
- 2,708
- 1,353
na hata akibeba copa america utakuja na visingizio vyengine tushawazoea
Mchezaji gan mnaesifia anashndwa kuibeba national tm japo ubingwa wa copa amerika tu lkn nyie mnazd kumtukuza kua etii ni bora wakati bora n kina watakatifu gaucho dona Pele ambao walizbeba tmu zao za taifa tofauti na uyu pimbi mnaempa sifa