FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Am team Barcelona and Messi

hongera mkuu mwanzo wakati nataka ingia jf nilitaka kutumia hyo id nikakuta imewahiwa kumbe ni wewe mkuu HONGERA MKUU visca el barca
 
Ooooh hayo ndio maneno sasa, we cute b kumbe tumewatagisha mara mbili alafu bado unajidai sijui mashetani vitu gani!! Cheeeeeers to yo husbands!!
ha ha ha ha ha ha ha tena mamy tuliwafunga nchini mwao na goli tatu kwa.moja mpaka kocha wao akawa anatetemeka.ikabid yule kipa wao astaafu baada ya ile mechi
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha tena mamy tuliwafunga nchini mwao na goli tatu kwa.moja mpaka kocha wao akawa anatetemeka.ikabid yule kipa wao astaafu baada ya ile mechi

Safi sana hicho ndicho kipigo kitakatifu, sahivi utakuwa unanipa na ratiba za mechi kabisa nirudishe hii hobi iliyoanza kufa baada ya alokuwa ananifanya nicheki mpira kufariki, sasa cute b utanitambua nakwambia hadi niujue mpira.
 
Last edited by a moderator:
Yaani atoke kwenye makombe aje pakame!? Hata kama wewe ndo ungekuwa Messi ungefanya ujinga kama huo!?
Aleyn nini tena mnanichangiaa.....mweee kumbe nipo ugenini kwaherini.
Msije mkaniua bureee
 
Last edited by a moderator:
Safi sana hicho ndicho kipigo kitakatifu, sahivi utakuwa unanipa na ratiba za mechi kabisa nirudishe hii hobi iliyoanza kufa baada ya alokuwa ananifanya nicheki mpira kufariki, sasa cute b utanitambua nakwambia hadi niujue mpira.
ha ha ha ha ha ha ha safi saaaana lazma uwe mkali ila pole na msiba mamaa
 
Last edited by a moderator:
ha ha ha ha ha ha ha safi saaaana lazma uwe mkali ila pole na msiba mamaa

Nishapoa mkuu, na nikiujua cute b atanitambua maana now ananionea sana!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…