Haya mambo angefanya yule mpaka poda C ronaldo ningeelewa lakini Messi of all people ni ngumu kumeza aiseee
Am very okey, ukijumlisha na huu ushindi ndio kabisaaa na furaha juu!
Hii game ya Barca vs Man U inachezwa saa ngapi?
cc everlenk. mchepuko vs njia kuu. leo kuna mechi nzuri. dortmund na juve 2 usiku, psg na chelsea 7 usiku.Leo ni BARCELONA VS MANCHESTER UNITED na tutawafunga zaid ya bao 2 hlo halipingiki huku mastaa kibao upande wa barca wakikosekana kama DAN ALVES BRAVO MASCHERANO NA KINGGG MESSSSSI
basi leo tegemea zomeazomea toka kwangu.
hamna matukio yoyote uliyonifariji, nimekupa kila ulichotaka. nimekupa la liga, UCL, copa del rey lakini unaniona ganda la ndizi. huyo njia kuu amekupa nini zaidi ya stress ? najua ukikubali kuwa mchepuko hutakiwi kuwa na wivu ila leo lazima nizomee.aaaaaa!!!! Usinifanyie hivyo bana!!! Kumbuka tumetoka mbali mimi na wewe na kumbuka hata katika matukio mazito jinsi nilivyokufariji......Leo tu Mbele ya njia kuu tumpe heshima yake jamani.....Leo tu....lol
hamna matukio yoyote uliyonifariji, nimekupa kila ulichotaka. nimekupa la liga, UCL, copa del rey lakini unaniona ganda la ndizi. huyo njia kuu amekupa nini zaidi ya stress ? najua ukikubali kuwa mchepuko hutakiwi kuwa na wivu ila leo lazima nizomee.
As I promised lazima njia kuu awe zaid...... Ntuzu leo mtalipiza kisasi kweli cha kuitwa watoto?
Hey! habari za siku nyingi dada'ngu. Leo hii game ya SAA tano upo upande wa njia kuu (united)? Mbona taarifa zinasema umesajiliwa na barca fans kwa dau kubwa na kuwatosa juventus walikuwa wakikuwania kabla ya dirisha LA usajili kufunguliwa!
Nachojua Leo kimwili upo united ila kiroho upo barca.
dah! kuna kitu wanaita instant karma. naona imenipata leo.Duhh!!! Usifanye hivyo bana.......Mimi Leo nipo hali mbaya maana duh wapenzi Wangu watakuwa wakicharuana huku mi nawatazama tu!!!!.......
dah! kuna kitu wanaita instant karma. naona imenipata leo.