FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Haya mambo angefanya yule mpaka poda C ronaldo ningeelewa lakini Messi of all people ni ngumu kumeza aiseee

Ngumu kumesaaa achaa!!! #AntiMess wanapondaje sasa?wamepata sababu yaani wanapaka rangi haswaa.....dah!!!sijui alivurugwaje!! Na Gabon walijitahidi kweli walimpa mzigo wa maana sanaa.....
 
Leo ni BARCELONA VS MANCHESTER UNITED na tutawafunga zaid ya bao 2 hlo halipingiki huku mastaa kibao upande wa barca wakikosekana kama DAN ALVES BRAVO MASCHERANO NA KINGGG MESSSSSI
 
cc everlenk. mchepuko vs njia kuu. leo kuna mechi nzuri. dortmund na juve 2 usiku, psg na chelsea 7 usiku.
 
Last edited by a moderator:
basi leo tegemea zomeazomea toka kwangu.

aaaaaa!!!! Usinifanyie hivyo bana!!! Kumbuka tumetoka mbali mimi na wewe na kumbuka hata katika matukio mazito jinsi nilivyokufariji......Leo tu Mbele ya njia kuu tumpe heshima yake jamani.....Leo tu....lol
 
hamna matukio yoyote uliyonifariji, nimekupa kila ulichotaka. nimekupa la liga, UCL, copa del rey lakini unaniona ganda la ndizi. huyo njia kuu amekupa nini zaidi ya stress ? najua ukikubali kuwa mchepuko hutakiwi kuwa na wivu ila leo lazima nizomee.
 
Duhh!!! Usifanye hivyo bana.......Mimi Leo nipo hali mbaya maana duh wapenzi Wangu watakuwa wakicharuana huku mi nawatazama tu!!!!.......
 
As I promised lazima njia kuu awe zaid...... Ntuzu leo mtalipiza kisasi kweli cha kuitwa watoto?

Hey! habari za siku nyingi dada'ngu. Leo hii game ya SAA tano upo upande wa njia kuu (united)? Mbona taarifa zinasema umesajiliwa na barca fans kwa dau kubwa na kuwatosa juventus walikuwa wakikuwania kabla ya dirisha LA usajili kufunguliwa!

Nachojua Leo kimwili upo united ila kiroho upo barca.
 
Teh teh tehe!!! Jamni kakangu nimekumiss sana mimi nipo poa, Juve sijawatosa bado nafasi ipo nanyi lakini nyie ndo hamuoneshi kunitaka kabisa kiasi kwamba mkafanya maisha yangu Barca kuwa magumu...... nakunong'oneza wewe tu leo am red kila mahali.
 
Baca vs man-u
Inaonyeshwa channel ya sports premier kupitia kisimbuzi cha Startimes
 
Back
Top Bottom