FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

bado la leo linakuwa la 87 na next week la 88
 
atoto mama wa fc Barcelona nchini Tanzania karbu leo kupokea kombe la 5 ndani ya mwaka mmoja huku tukiwa tumebakisha mawili yatimie saba

Hii lazima niangalie leo
 
Last edited by a moderator:
wewe ni mamluk kamsifie mafis ya kulipwa au muotesha nyewele ama yule beki wenu kipofu ama mvaa vitopu maruani

Wewe katoto nitakuchapa ujue? Hehehehiyaaa dunia huru hii najidai na kushangilia popote pale nipendapo,mi ni mwanasoka si shabiki wa mpira ati!!!!
 
Wewe katoto nitakuchapa ujue? Hehehehiyaaa dunia huru hii najidai na kushangilia popote pale nipendapo,mi ni mwanasoka si shabiki wa mpira ati!!!!

kama dunia ni huru nenda kaishi BAGHDAD na bado mtasubir kwa King Messi
 
Nawaona mashabiki wa Barca 2015 mnapeana moyo......

ha ha ha ha ha ha binti kuwa na adabu mie babu yako nimeanza shabikia Barcelona mwaka 1982 wakat tunamsajili Maradona
 
Mnaangalia Super Cup Barca 1-1 sevilla. Magoli ya vipimo free kicks.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…