ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
mimi nipo,nafuatilia mustakbali wa nchi-Lowassa analeta shida-mara baada ya ukombozi wa nchi nitarudi rasmi humu
Pole sana mama, hata mimi nipo kwenye michakato ya kuwaelimisha watanzania watambue kwamba ni kosa kubwa kuwachagua CCM tena, kuanzia Madiwan mpaka wabunge na Marais. Inabidi tuitoe CCM na kuiweka ndani UKAWA.
Anyway tuachane na hayo Mkuu, tuendelee na harakati za kimaisha, uchaguzi ukiisha tutakuwa humu 24/7 kama zamani.
Nenda salamaHaya yana uhusiano gani na barca?? Kwaherini.
Nenda salama
Huyu analeta za kuleta,ndugu zetu wa Tanzania wanapigika kisa CCM yeye anabana pua
Nenda salama
Pole sana mama, hata mimi nipo kwenye michakato ya kuwaelimisha watanzania watambue kwamba ni kosa kubwa kuwachagua CCM tena, kuanzia Madiwan mpaka wabunge na Marais. Inabidi tuitoe CCM na kuiweka ndani UKAWA.
Anyway tuachane na hayo Mkuu, tuendelee na harakati za kimaisha, uchaguzi ukiisha tutakuwa humu 24/7 kama zamani.
Huyu analeta za kuleta,ndugu zetu wa Tanzania wanapigika kisa CCM yeye anabana pua
Sawa baba,samahani from the bottom of my heartJf kuna Jukwaa la Siasa nafikiri sio busara kuleta mambo ya Siasa humu,hili ni jukwaa la SPORT
Msamehe bure yule ni sisiem damu....
Fc Barcelona miamba ya dunia