Timu inabadilika Mkuu, wangeweza kubadilika mbele.¨
MKUU MIMI BASI NAONA BORA REAL MADRID SISI HAWATUSUMBUI KULIKO HAWA WALIOBAKIA ATHLETIC MADRID . CELTA VIGO . SEVILA HIZI TIMU ZINASUMBUA
Nipo sana tu,hii format mpya ya JF either sio user friendly AU ni mimi inanitia uvivuI miss you! Mbona umepotea Mkuu!?
inasumbua sana kutafuta threads. ule mtindo wa kusubscribe thread ulikuwa unasaidia sana.Nipo sana tu,hii format mpya ya JF either sio user friendly AU ni mimi inanitia uvivu
Ahahahahahaha pole sana best!Nipo sana tu,hii format mpya ya JF either sio user friendly AU ni mimi inanitia uvivu
celta vigo kashinda 3-2.duuh hawa bilbao wanaweza kutuaibisha tusubiri kipindi cha 2 tuone hichi cha mwanzo tumecheza mbaya
dk 91 neymar kapiga la 3. FT barca 3 bilbao 1. game ilikuwa nzuri sana. ila niko worried na maisha ya mpira ya neymar. anachezewa rafu nyingi sana.Sergio ni fundi sana viva barca
Mbn huo mtindo wa kusubscribe ndo upo kwenye hii version mpya. Kwa sasa mbn huanggaiki kutafuta thread?inasumbua sana kutafuta threads. ule mtindo wa kusubscribe thread ulikuwa unasaidia sana.
Mkuu, achana na hii mido kaka.Sergio ni fundi sana viva barca
naona upya na unanizingua. pia nashindwa kucontrol alerts za threads gani zije na zipi zisije.Mbn huo mtindo wa kusubscribe ndo upo kwenye hii version mpya. Kwa sasa mbn huanggaiki kutafuta thread?
Kibaya anakua underrated vibayaMkuu, achana na hii mido kaka.