FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

¨
MKUU MIMI BASI NAONA BORA REAL MADRID SISI HAWATUSUMBUI KULIKO HAWA WALIOBAKIA ATHLETIC MADRID . CELTA VIGO . SEVILA HIZI TIMU ZINASUMBUA
Timu inabadilika Mkuu, wangeweza kubadilika mbele.
 
dk 11 inaki katuliza. barca 0 bilbao 1. ila tunacheza vizuri sana.
 
duuh hawa bilbao wanaweza kutuaibisha tusubiri kipindi cha 2 tuone hichi cha mwanzo tumecheza mbaya
 
HT wao 1 sisi hatujapata kitu. hawa madogo wanatusumbua sana winga zetu hazipiti na wanaspeed.
 
Mbn huo mtindo wa kusubscribe ndo upo kwenye hii version mpya. Kwa sasa mbn huanggaiki kutafuta thread?
naona upya na unanizingua. pia nashindwa kucontrol alerts za threads gani zije na zipi zisije.
 
Back
Top Bottom