Hilo liko waziBarcelona wanapigwa
Hilo liko wazi
arsenal mlijua hatuwezi piga counter. sasa mtafunguka na ndiyo tutapomaliza gemu.Hilo liko wazi
told ya. 2-0.Hilo liko wazi
Over the heels and far away no catching them now.kwa lugha ya malikia hii tunaita"ruthless efficiency"
Kuna utani mwingine unaukubali lakini utani wa Barcelona kufungwa na Arsenal huo ni utoto.....kwa lugha ya malikia hii tunaita"ruthless efficiency"
hahaha. umenikumbusha ngoma ya Nightwish over the hills and far away. watasubiri sana.Over the heels and far away no catching them now.
Hahhaa
Mmeshindwa kupata hata shoot on target kazi kupiga makelele tu
akishindwa atuite blaugrana.Oya bado unacheki ball, mbili izo! Nilikuambia mpira dkk90...hiyo ndiyo inaitwa Barcelona aka Barca,Barce au ukipenda Bachalona
Hahaha kwa wacheza pes 2016 wanaelewa ukishapiga mtu bao mbili wanasema ivohahaha. umenikumbusha ngoma ya Nightwish over the hills and far away. watasubiri sana.
Kuna mmoja anajiitaga Mtakatifu Carzolà bar flani Night park hapa mianzini-Arusha...Nilikua nawasubiri wale wakurupukia soka wa arsenal waliokua wanasema barca anapigika tu ila sijui wako api😀😀