FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Screenshot_2016-02-24-01-16-08-1.png
 
arsenal wametubania kuona burudani na anti-football yao kabla ya goli la kwanza. natumaini camp nou mtafunguka ili tuburudike.
 
jpili saa nne na nusu Sevilla watatutembelea. inabidi tufanye tulichowafanya Celta Vigo.
 
Nilikua nawasubiri wale wakurupukia soka wa arsenal waliokua wanasema barca anapigika tu ila sijui wako api😀😀
Kuna mmoja anajiitaga Mtakatifu Carzolà bar flani Night park hapa mianzini-Arusha...

Jamaa Lina kelelle kama vile umefunga speaker .

Leo kapiga bia tuu. Ila kwanzia dakik ya 72 sikumuona tenaaa
 
Back
Top Bottom