Buenos Aires
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,894
- 1,622
Week hii acha kabisa yaani bado nimezidi kunenepa tu kicheko kila mahali,next Barca anacheza na nani?
baada ya li saa moja na roboGame sa ngap aisee
[emoji106] [emoji106]baada ya li saa moja na robo
Best Mbona umewapa ujiko sana hilo moja wamefungia wapi???? Ni 2-0HT 2-1. vallecano wana red.
Hii ndo Barca, magoli ya ajabu yanapatikana EPL kwa Man U na vibonde vingine.dk ya 52 king anafunga tena. 3-0. goli lilikuwa no moves nzuri sana.
magoli ya kubahatisha na yaliyokosa ufundi. Suarez kapiga penalty kwa hasira kipa katema. dk 69 3-1.Hii ndo Barca, magoli ya ajabu yanapatikana EPL kwa Man U na vibonde vingine.