Hahhahahha dady Leo unakana maneno yako???? Nikasake post yako uliyokuwa ukiisapot arsenal wasikuangushe kuifunga Man U????? Poyeeeeeeee lol mifanoooooo kibao!!!! Allergy hii noma muone daktari tafadhali still loving you my dady sipendi nikupoteze sababu ya Man U!!!!!Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.
[emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji123] [emoji123]Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.
Huku tuko camp Nou habari za OT unazitoa wapi km siyo wewe mwenye matatizo, poyeeeeeeeeee!!!!!Nani aiwaze Man U!? Unataka kusema naionea wivu ama? Mbona wewe unayeipenda Man U umeiacha na kuja huku, nani anamuonea wivu mwezake sasa!?
My daddy tafadhali muone daktari hii allergy yako imefika pabaya, you can't make black to be white oooohhhhh!!!!Toka lini shabiki wa Man U akaipenda Barca, mashabiki wa man u mnaojifanya mnaipenda Barca mnatuletea uchuro humu ndani. Hii Thread ni ya kiungwana sana, sasa ninyi mmekuja na mashetani yenu mekundu mnataka kuleta vurugu.
Ngoja niwaite wachungaji waanze maombi, karibu Pastor PNC 1, jackline1, chebi Red Giant
Tupo Camp Nou kama kawaida ila Waswahili wanasema kwenye safari ya mamba, kenge nao wapo. Wewe unajifanya shabiki wa Barca ila wewe ni Man U damu, so wewe ni JIPU. Ndo maana nilivyokutumbua kuhusu Man U yako umeanza kuitetea. PNC 1 na jackline1 embu njooni mumshike vema huyu Binti ili nikiendelea kumtumbua asipige kelele kuamsha watu, si mnajua sasa hivi ni usiku sana.Huku tuko camp Nou habari za OT unazitoa wapi km siyo wewe mwenye matatizo, poyeeeeeeeeee!!!!!
double figure!🙂 Messi ana utulivu wa kustaajabisha anapokuwa golini. ile kapewa na neymar kaichonga pembeni mbali na kipa. au lile aliwapiga Arsenal. goli zake siyo butuabutua.suarez na Neymar wangekuwa na composure kama ya messi punde akiliface goal-Barca ingekuwa inafunga double figures kila siku
Pepo wa Man u ashindweeeeeeeeeee kwa jina la MESSI aliyewaua pale wimbley kwa goli 2Toka lini shabiki wa Man U akaipenda Barca, mashabiki wa man u mnaojifanya mnaipenda Barca mnatuletea uchuro humu ndani. Hii Thread ni ya kiungwana sana, sasa ninyi mmekuja na mashetani yenu mekundu mnataka kuleta vurugu.
Ngoja niwaite wachungaji waanze maombi, karibu Pastor PNC 1, jackline1, chebi Red Giant
Embu ngoja nikuulize swali moja kidogo, unasema nina Alej na Man U, hivi unaweza ukaifananisha Man U na Barca? Niwe na Alej nayo kwa kipi hasa? Kuna kitu Man U ilichoizidi Barca? Embu nijibu haya maswali kwanza.My daddy tafadhali muone daktari hii allergy yako imefika pabaya, you can't make black to be white oooohhhhh!!!!
[emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] [emoji12] umechemka leo umekimbiaVisca el Barca...............goodnight dears.
Hahhahahha poyeeeee my dady unazeeeka vibaya sana always I tell you Man U is my soul Barca is my heart.......everlenk is everlenk,Vamos Barca !!!!!embu niache nilaleeeeeeeeeeeeee!!!!!!!! Usisahau kumuona daktari.Tupo Camp Nou kama kawaida ila Waswahili wanasema kwenye safari ya mamba, kenge nao wapo. Wewe unajifanya shabiki wa Barca ila wewe ni Man U damu, so wewe ni JIPU. Ndo maana nilivyokutumbua kuhusu Man U yako umeanza kuitetea. PNC 1 na jackline1 embu njooni mumshike vema huyu Binti ili nikiendelea kumtumbua asipige kelele kuamsha watu, si mnajua sasa hivi ni usiku sana.
Ahahahahahahaahahaha mashabiki wa man u bhana, timu zao zikienda kombo wanatafuta timu za kujifarijia.Pepo wa Man u ashindweeeeeeeeeee kwa jina la MESSI aliyewaua pale wimbley kwa goli 2
mchezaji bora pale barca ni messi na mchezaji bora anayetegemewa man u ni rashford [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutoka beckam had mkikuyu wa kenyaEmbu ngoja nikuulize swali moja kidogo, unasema nina Alej na Man U, hivi unaweza ukaifananisha Man U na Barca? Niwe na Alej nayo kwa kipi hasa? Kuna kitu Man U ilichoizidi Barca? Embu nijibu haya maswali kwanza.
Pepo wa Barca ashindwe kwa jina la Ramires na Torres waliowauwa pale camp nouPepo wa Man u ashindweeeeeeeeeee kwa jina la MESSI aliyewaua pale wimbley kwa goli 2
Ahahahahahahahahahahahahaha!!!mchezaji bora pale barca ni messi na mchezaji bora anayetegemewa man u ni rashford [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] kutoka beckam had mkikuyu wa kenya
mkuu hujaachaga kutumia wanzuki au unataka nije jukwani kwako nikujazie seva kwa picha za MESSIPepo wa Barca ashindwe kwa jina la Ramires na Torres waliowauwa pale camp nou
Embu mchukue everlenk ukampe dawa baada ya kutumbuliwa. Naona anahisi maumivu sana ndo maana kaaga. Kampe dawa huko alipo.Pepo wa Barca ashindwe kwa jina la Ramires na Torres waliowauwa pale camp nou
Hahahaha hadi mashabik wa chelsea mpo kwenye huu uzi.. nasikia chelsea anaongoza ligi epl mkuuPepo wa Barca ashindwe kwa jina la Ramires na Torres waliowauwa pale camp nou