FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Hahahaha hadi mashabik wa chelsea mpo kwenye huu uzi.. nasikia chelsea anaongoza ligi epl mkuu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] hapana chezea vuvuzela mou na bila kumuwai alikuwa anawarudisha ligi 2
 
mkuu hujaachaga kutumia wanzuki au unataka nije jukwani kwako nikujazie seva kwa picha za MESSI

Teh teh teh yani tangu matokeo ya kidatu cha nne yalivyotoka na wewe kuongoza kijijini kwenu umekua na vurugu kweli.....

Teh teh teh lete picha tu hizo uone na Mimi nitakavyozileta kwenu huku.

Embu mchukue everlenk ukampe dawa baada ya kutumbuliwa. Naona anahisi maumivu sana ndo maana kaaga. Kampe dawa huko alipo.

Nimekuja kumchukua naona mnamnyanyasa tu na timu lenu la kubebwa.
 
Reactions: PNC
Sijakataa mtu kupita maana huu ni mpira utani wa kimichezo upo ila nimeuliza tu eti kule kwenu mnaongoza ligi mkuu

Unauliza maswali kwani umeambiwa hichi ni kipindi cha maswali na majibu?

Mkuu vipi? Nileteeni everlenk wangu tukalale
 
Reactions: PNC
We Ngosha vipi wewe kwani hairuhusiwi kupita huku?
Kupita huku ila hatutaki unafiki, eti shabiki wa Man U uje uipende na Barca pia wakati huohuo. Na zikikutana utashabikia Man U, yaani unaiita Barca mchepuko wako, hii tabia hatutaki kabisa huku.
 
Kupita huku ila hatutaki unafiki, eti shabiki wa Man U uje uipende na Barca pia wakati huohuo. Na zikikutana utashabikia Man U, yaani unaiita Barca mchepuko wako, hii tabia hatutaki kabisa huku.

We mbona ni mchepuko wa Pepp Guadiola na hatusemi
 
Kupita huku ila hatutaki unafiki, eti shabiki wa Man U uje uipende na Barca pia wakati huohuo. Na zikikutana utashabikia Man U, yaani unaiita Barca mchepuko wako, hii tabia hatutaki kabisa huku.
Hahahaha mimi naamini hakuna shabiki wa man u au arsenal atakaeipenda barca
 
Mkuu Cookie naona upo online. tunaomba mtubadilishie hiyo picha ya kwanza na yawepo na maelezo ya historia. ni aibu kwa klabu bora kabisa duniani.
yani hili jambo nishawaambia Moderator mara kibao ila wanekuwa wapuuziaji Ni inatia aibu club kama Barcelona kuwa na picha ya zaman isiyo na maelezo kiukwel Paw hebu msiwe mnajifanya mko biiiize mnatuumiza mioyo
 
hehehe. kuna siku tutazeeka watu wataulizwa na wajukuu. zao. ''babu hivi Messi alikuwaje?" watajibu "Messi alikuwa hatari, anapita mabeki kumikumi" kumbe hawakumuona, walikuwa bize kuangalia butuabutua ya EPL. hivi unakosaje burudani la Barca?
 
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
hehehe. kuna siku tutazeeka watu wataulizwa na wajukuu. zao. ''babu hivi Messi alikuwaje?" watajibu "Messi alikuwa hatari, anapita mabeki kumikumi" kumbe hawakumuona, walikuwa bize kuangalia butuabutua ya EPL. hivi unakosaje burudani la Barca?
[emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28] [emoji28]
 
Reactions: PNC
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…