Umeniona mimi nikishabikia Arsenal? Sijawahi kuipenda timu ya yoyote ya EPL. Mimi sipendi vibovu kama wewe.
Hivi mimi na wewe kila mtu akitaja timu yake mbele za watu nani ataonekana kicheko. Hivi kizazi hiki bado mtu unashabikia Man U kweli!? Burudani yote itolewayo na Messi, Neymar, Iniesta na Barca kwa ujumla bado unashabikia Man U?
Hivi ninyi mara ya mwisho kubena UEFA lini!? Miaka ya Karibuni mmewahi hata kuingiza Mchezaji ktk Ballon D Or? Miaka ya Karibuni hata hatua ya mtoano UEFA hamuijui, wapongezeni Arsenal mnaowaponda walau wamefika huko.
Mwisho kabisa, WATU WANAHAMA DINI WALIZOZALIWA NAZO, SEMBUSE TIMUUUU!? Njoo Barca moja kwa moja, achana na hao viwete Man U.