Siyo timu bora Kama usemavyo lakini unakesha ukiifuatilia usiku na mchana inakuumiza kichwa bila Shaka kuna kitu kizuri ilichozidi hiyo Madrid. Madrid hamuwezi mkachukua UEFA hata kwa kuloga.Unatumia vigezo gani kusema barca ni timu bora? Okei, ni timu bora ila sio kama mbabe wao R. Madrid. Kwa taarifa yako timu bora ya dunia ni R. Madrid ma imeizidi Barca kila kitu, kuanzia vikombe mpaka nani kamfunga mwenzake mara myingi.
Ha ha ha yeye ni mshabiki wa Atretico?Habari njema kama ya A Kilango Malechela
Wahurumie plastic fan mkuu, wao ni washangilia ushindi tuu!Mkataba wa Stegen ni kuanza mechi za UEFA kama hujui. Unashangalia lakini hujui. Bendera bana
Bangi ni hatari sana.Barcelona imetolewa! Hivyo uefa haina ladha yeyote from now, without Barca nothing,,,
mashabiki na wasiokuwa mashabiki wa Barcelona duniani kote hawatojishughulisha na kufuatilia mechi zilizobakia..maana hazina kivutio chochote, coz bila kuwepo baba yao wa familia kila kitu kinaharibika, Poleni sana ma-fans wa baca, best club in the world na itaendelea kushika no1 forever.
mashabiki wa mkopo wa barca mnachanganyana mtakuja kupigana wenyewe kwa wenyewe humu jukwaaani!Mkuu huyo ni Barcelona tusigombane wenyewe VIVA BARCELONA
...hebu ondoa zile goli alizoifunga Malmo,sijui zitabaki ngp?!Champions league goals
Messi = 4
Suarez =8
Neymar =3
Total = 15
Cr7 = 16
Final equation
MSN + 1 = CR7
Acha kukariri kakaangu weeeeee!!!!! Mi siyo shabiki km nyie Mi ni mwanasoka ......Ni wewe tu na ndo maana tuna mkosi Barca, toka lini Man U ukaipenda na Barca, embu nenda Madris uone kama Barca hatujabeba UEFA mara mbili. Dah, siamini kama tumetoka.
hilo ni tatizo lako la uwezo mdogo ulionao, ila mimi nikikusoma btn the line nakuelewa jinsi ulivyo zezeta na ulivyo mtoto!...tatizo huku huwezi jua nani mtt, nani mtu mzima,nani yuko sawa,nani zezeta,ndio shida ya jf!