Linamo
JF-Expert Member
- Jan 12, 2011
- 9,976
- 24,496
Siyo timu bora Kama usemavyo lakini unakesha ukiifuatilia usiku na mchana inakuumiza kichwa bila Shaka kuna kitu kizuri ilichozidi hiyo Madrid. Madrid hamuwezi mkachukua UEFA hata kwa kuloga.Unatumia vigezo gani kusema barca ni timu bora? Okei, ni timu bora ila sio kama mbabe wao R. Madrid. Kwa taarifa yako timu bora ya dunia ni R. Madrid ma imeizidi Barca kila kitu, kuanzia vikombe mpaka nani kamfunga mwenzake mara myingi.