Hata mimi nazipenda zote, klab zote ila, from the bottom of my heart, I HATE MAN U! Sielewi kwa nini, lakini nawachukia sana ma'freemasons' wale!
Same here,i really hate that team...agrrrrrrrr
Hakujawahi kutokea kikosi kama cha sasa hivi katika historia ya soka.EVER!!!!!!!:A S crown-1:
Nawapenda washabiki kama nyie mnakuwa na data,sio wanaoleta unazi na upenzi wa timu zao hapa,pamoja tunawakilisha one love!Mbona jibu lipo tayari post # 30 😛opcorn:
Sasa wadau, wachambuzi, wapenzi, waangalizi, mashabiki na waandishi wa habari, je Barcelona ya sasa ndio timu bora zaidi kwa ngazi ya klabu kuwahi tokea duniani ?
mnaongea sana,ngoja niwasaidie AC MILAN ni kinara wa karne kwanza wachezaji wake waliopita hapo wanatisha,hawapo tena ktk ulimwengu wa soka.nini barcelona bwana?? mtaacha watu watapike chakula.
mnaongea sana,ngoja niwasaidie AC MILAN ni kinara wa karne kwanza wachezaji wake waliopita hapo wanatisha,hawapo tena ktk ulimwengu wa soka.nini barcelona bwana?? mtaacha watu watapike chakula.