Nadhani wachezaji watakua wamechoka chief, huwezi ukacheza mechi 50+ bila kupumzika, ukiongeza na ufinyu wa kikosi chenu, mbele kuna messi, neyma na Suarez lakini sub kuna Sandro na munirduuuh sijui hili jinaminzi gani
Peter Tino...Augustino Peter. Atabaki kwenye historia ya Soka la Tanzania! Jellah Mtagwa nae! Nilitumia STEMPU yenye picha yake. Mwezi Mei 1983, kwa macho yangu mwenyewe, katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid hapa Arusha, nilishudia akichezewa rafu na James Jengela wa Nkana Red Devils ya Zambia, Rafu hiyo ndo ilimfanya asirudi uwanjani tena........Masatu,
You got it right mimi Pan Africa mkuu yaani enzi zile za Panya weee! Mbele ya Jella Mtagwa na Peter Tino, hazitarudia tena hizo enzi unakumbuka Peter Tino alivyotupeleka Lagos?
Messi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.Nadhani wachezaji watakua wamechoka chief, huwezi ukacheza mechi 50+ bila kupumzika, ukiongeza na ufinyu wa kikosi chenu, mbele kuna messi, neyma na Suarez lakini sub kuna Sandro na munir
Yah nadhani kuchoka kwake kumetokana na kucheza mechi nyingi bila kupumzika, mfano ukiangalia mtu kama Suarez kacheza dakika 90 takriban mechi zote alizoanza, it's some how too late but kwangu Mimi it's better Pedro angebakizwa it was a good option kama back up kuliko hawa watoto akina Sandro, pia usajili wa Arda bado sijaona matunda yakeMessi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.
you were saying?Messi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.
1.Usajili wa Turan na Vidal ni kimeo,i wish Laporta angeshinda Uraisi,asingewasajiliYah nadhani kuchoka kwake kumetokana na kucheza mechi nyingi bila kupumzika, mfano ukiangalia mtu kama Suarez kacheza dakika 90 takriban mechi zote alizoanza, it's some how too late but kwangu Mimi it's better Pedro angebakizwa it was a good option kama back up kuliko hawa watoto akina Sandro, pia usajili wa Arda bado sijaona matunda yake
hata mi naona turan hatufai kama attacking midfielder.1.Usajili wa Turan na Vidal ni kimeo,i wish Laporta angeshinda Uraisi,asingewasajili
Angemuacha Pedro,Turan hafit mfumo wa Barca
2.Barca wanahitaji kusajili mabeki wapya wazuri sio kutegemea wazee/magarasa kama Vermalen na Mathieu
3.Lucho anachemsha sana kutowafanyia rotation MSN
3.Basquet anahitaji msaidizi,ni ngumu sana kucheza msimu mzima peke yake