FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

Barca imekuwa timu ya kulilia mpira wa kurusha??? daaaah kweli dunia inazunguka kwenye mhimili wake!
 
Masatu,

You got it right mimi Pan Africa mkuu yaani enzi zile za Panya weee! Mbele ya Jella Mtagwa na Peter Tino, hazitarudia tena hizo enzi unakumbuka Peter Tino alivyotupeleka Lagos?
Peter Tino...Augustino Peter. Atabaki kwenye historia ya Soka la Tanzania! Jellah Mtagwa nae! Nilitumia STEMPU yenye picha yake. Mwezi Mei 1983, kwa macho yangu mwenyewe, katika Uwanja wa Sheikh Amri Abeid hapa Arusha, nilishudia akichezewa rafu na James Jengela wa Nkana Red Devils ya Zambia, Rafu hiyo ndo ilimfanya asirudi uwanjani tena........
 
Nadhani wachezaji watakua wamechoka chief, huwezi ukacheza mechi 50+ bila kupumzika, ukiongeza na ufinyu wa kikosi chenu, mbele kuna messi, neyma na Suarez lakini sub kuna Sandro na munir
Messi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.
 
Messi ndo kachoka, akichoka Messi ni timu yote imechoka! Ndio tatizo la kumtegemea mtu mmoja.
Yah nadhani kuchoka kwake kumetokana na kucheza mechi nyingi bila kupumzika, mfano ukiangalia mtu kama Suarez kacheza dakika 90 takriban mechi zote alizoanza, it's some how too late but kwangu Mimi it's better Pedro angebakizwa it was a good option kama back up kuliko hawa watoto akina Sandro, pia usajili wa Arda bado sijaona matunda yake
 
Valencia na mbinu yao ya kunga'ng'ania mpira wakati wa foul itawacost
 
Yah nadhani kuchoka kwake kumetokana na kucheza mechi nyingi bila kupumzika, mfano ukiangalia mtu kama Suarez kacheza dakika 90 takriban mechi zote alizoanza, it's some how too late but kwangu Mimi it's better Pedro angebakizwa it was a good option kama back up kuliko hawa watoto akina Sandro, pia usajili wa Arda bado sijaona matunda yake
1.Usajili wa Turan na Vidal ni kimeo,i wish Laporta angeshinda Uraisi,asingewasajili
Angemuacha Pedro,Turan hafit mfumo wa Barca

2.Barca wanahitaji kusajili mabeki wapya wazuri sio kutegemea wazee/magarasa kama Vermalen na Mathieu

3.Lucho anachemsha sana kutowafanyia rotation MSN

3.Basquet anahitaji msaidizi,ni ngumu sana kucheza msimu mzima peke yake
 
hata mi naona turan hatufai kama attacking midfielder.
 
af669160b6d161d09047a45b642bef0b.jpg

Half time ilikuwa poa

b6b4605592f3be23240d00043c72ecd7.jpg

Teeeehe tusonge mbele tutarudisha tu
 
hawa valencia nao ni majipu hataki kushinda hii game, goli gani wanakosa hawa??? fyuuuuu
 
Hawa valencia hawatak ushindi mnono bila shaka, wanakosa nafasi za wazi
 
[emoji12] [emoji1] [emoji1] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji130] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji121] [emoji130] [emoji122] [emoji122]
 
Back
Top Bottom