wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
RM nao hawako fresh. mechi za gjon na lisbon hawakuwa na performance ya kutupiga 4.Sasa hivi barca tuna forwards tu. Hatuna viungo wa kukaba wala mabeki. Tunakoelekea ni kubaya kwa hali hii.
hivi visare na viushindi vyembamba ni kazi ya MSN. timu imekosa flow. winger ya kulia kumekuwa hakuna cross kabisa.Sasa hivi barca tuna forwards tu. Hatuna viungo wa kukaba wala mabeki. Tunakoelekea ni kubaya kwa hali hii.
mi najua ttukipata right back mzuri (asiwe kama Vidal) na Roberto akicheza kama midfielder tutakuwa hatushikiki.Mimi ni shabiki wa Barcelona damu, tangu zamani barca ikikuwa ikifungwa nikikuwa najisikia vibaya hadi kuhudhuria vipindi chuo nina cancel kesho yake (champions league matches )
Ukweli ni lazima usemwe (huu ni msimu nisiotarajia kikombe chochote)
Walikuwa watamu sana jana Carlos vera alikuwa anafanya anavyotaka ila ni wa kuwaangalia kwa jicho la tatu wapo vizuri ukiingia kwao inabidi ucheze kweli.hao real sociedad kafara waliochimbia kwenye huo uwanja itakuwa ya panya buku mzee ,sio bure yaani toka 2007 hadi leo ni mwendo kichapo au droo 😀😀😀😀😀
Sio kwa takwimu hizi
Roberto ni mzuri kiungo, akiwa beki anajisahau sana, lawama zote ni kwa kocha (goli la kwanza dhidi ya Man City na liliowapa nguvu ya comeback ni udhaifu/boko toka kwake, jana goli lilitokea upande wake japo beki wengine nao walizingua )Amekuwa mzito kurudi ikitokea tumepigwa counter attackmi najua ttukipata right back mzuri (asiwe kama Vidal) na Roberto akicheza kama midfielder tutakuwa hatushikiki.
Kitakuwa kipindi cha mpito kwenu mpaka kuja kupata mtu kama iniesta pale kati ni shughuli zama zile mapungufu ya back line hayakuonekana sana sababu mlikuwa mna miliki mpira muda mwingi wapeni muda vijana waweza kufikia japo nusu ya nguli wenu kama xavi na iniesta.Roberto ni mzuri kiungo, akiwa beki anajisahau sana, lawama zote ni kwa kocha (goli la kwanza dhidi ya Man City na liliowapa nguvu ya comeback ni udhaifu/boko toka kwake, jana goli lilitokea upande wake japo beki wengine nao walizingua )Amekuwa mzito kurudi ikitokea tumepigwa counter attack
Viungo hamna kitu, rakitic anafanya vizuri ila anachoka mapema sana, yule jamaa mwenye pank hata sijui vlitumika vigezo gani kumsajili
Madrid wakija Camp Now wakacheza kama walivyocheza na athletic,..... Mungu aepushie mbali
Afadhali hii hali imeanza mapema ili kama kuna la kuwezekana kufanyiwia kazi lifanyiwe faster. I believe the future is bright.Yaani Barca anazidiwa possession? kweli sasa nimeamini Yesu atarudi tena kuwakomboa walimwengu!!!! Game ya jana tulitakiwa tufungwe.Anyway experience yangu ni kwamba lazima team someway along the line ikwame,last season tulikwama on the home straight ikawa almanusura-this time imekuja mapema hence on the home straight tutakuwa moto-Lets hope moto utaanza na el classico.Huu mpira wa jana jamaa wametutesa sana,Barca anashindwa hata ku hold mpira??
Yaani Barca anazidiwa possession? kweli sasa nimeamini Yesu atarudi tena kuwakomboa walimwengu!!!! Game ya jana tulitakiwa tufungwe.Anyway experience yangu ni kwamba lazima team someway along the line ikwame,last season tulikwama on the home straight ikawa almanusura-this time imekuja mapema hence on the home straight tutakuwa moto-Lets hope moto utaanza na el classico.Huu mpira wa jana jamaa wametutesa sana,Barca anashindwa hata ku hold mpira??
Afadhali hii hali imeanza mapema ili kama kuna la kuwezekana kufanyiwia kazi lifanyiwe faster. I believe the future is bright.
dawa yako ipo jikoniCristiano anafunga magoli ya penalty, Free kick na Tap-ins tu, lakini bahati mbaya hizi tap-ins zinakuja Camp Nou this week. Que horible!