wooden flag
JF-Expert Member
- Oct 12, 2014
- 969
- 1,948
Mimi ni shabiki wa Barcelona damu, tangu zamani barca ikikuwa ikifungwa nikikuwa najisikia vibaya hadi kuhudhuria vipindi chuo nina cancel kesho yake (champions league matches )
Ukweli ni lazima usemwe (huu ni msimu nisiotarajia kikombe chochote)
Ukweli ni lazima usemwe (huu ni msimu nisiotarajia kikombe chochote)