Yule mzee hatokufa mapema walah!! Stress ashazizoea.Kama kawa...na kule babu wenger kishatulizwa na sheikh mansoor....
naona leo kuna mipira mirefu.Goooool
1'Luis Suarez
Assist by don andres
B 1-0 Esp
hadi namuonea huruma. alikosa goli akaruka kwa kulaani.Yule mzee hatokufa mapema walah!! Stress ashazizoea.
Uwanjani anakuwaga km mwendawazimu masikini, mashabiki zao ndio kabisaaa, wanaishi kwa matumaini.hadi namuonea huruma. alikosa goli akaruka kwa kulaani.
Mzee anatakiwa aachie timu maana hana jipyaUwanjani anakuwaga km mwendawazimu masikini, mashabiki zao ndio kabisaaa, wanaishi kwa matumaini.
naona leo kuna mipira mirefu.
Ada ni jipu atoke tu
Yule mzee hatokufa mapema walah!! Stress ashazizoea.
hadi namuonea huruma. alikosa goli akaruka kwa kulaani.
Miujiza ya messi leo hapa uwanjani anajikusanyia vijiji tu
Hakuna MTU hapa duniani ambaye atafanishwa na messi.
Uwanjani anakuwaga km mwendawazimu masikini, mashabiki zao ndio kabisaaa, wanaishi kwa matumaini.