FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

ila iniesta anapiga mpira mwingii. hivi Ter ataweza kumzuia Cavani?

Yeah absolutely😀,kwakweli kanifurahisha....

About Cavani sioni kama atatupa shida, wamwangalie pia de maria hatari huyu jamaa akiwa na mpira...
 
Ukitaka kumuona anaye mzidi messi uwe una angalia mechi za Real Madrid na Portugal. Anaitwa king Cr 7

Sio kosa lako tatizo huangalii mechi za timu nyingine
mkuu umemaliza kila kitu!

wakati wao wanahangaika kupiga chenga kijiji, mnyama cr7 anaendelea kujikusanyia makombe tuu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…