BlackPanther
JF-Expert Member
- Nov 25, 2015
- 9,185
- 8,715
Jana wakati wa Mechi nilikuwa nimechoka sana lakini niliacha goli moja nikaona upepo utakuwa mzuri tu.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji109][emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] [emoji122] Viva Barcelona jana was gud gud.
Cavani ana goli 17. anafunga karibu kila mechi. lakini Kwa ujumla PSG ni wa wachovu.Yeah absolutely😀,kwakweli kanifurahisha....
About Cavani sioni kama atatupa shida, wamwangalie pia de maria hatari huyu jamaa akiwa na mpira...
tunazungumzia individual skills, siyo makombe. kwa uwezo binafsi Cr& hata Neymar hamgusi. uliona jana alivyokuwa anapita katikati ya mabeki?
kwa individual skills hana mpinzani. zile moves za goli la pili siyo za sayari hii.
Hata kwa makombe, messi anayo mengi zaidi ya CR7. The same to the Ballon (5-4)tunazungumzia individual skills, siyo makombe. kwa uwezo binafsi Cr& hata Neymar hamgusi. uliona jana alivyokuwa anapita katikati ya mabeki?
tehetehetehetehe chenga twawala,; so what?tunazungumzia individual skills, siyo makombe. kwa uwezo binafsi Cr& hata Neymar hamgusi. uliona jana alivyokuwa anapita katikati ya mabeki?
Picha gani hiyo?Na ndio imekuwa hivyo...Pole sana dear.
Sorry Hiyo picture imejituma kwa bahti mbaya, ilikuwa imwendee atoto😀
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Kama unautendea haki mpira wa miguu.....huwezi kabisa kulinganisha uwezo wa messi na ronaldo.
Messi ni mchawi/ kama si binadamu vile.
Messi ana makombe mangapi?tehetehetehetehe chenga twawala,; so what?
cr7 anaendelea kuvunja marekodi na marekodi nyie endeleeni kusifia chenga
Picha gani hiyo?
kwenye goli la 2 walikuwa wa 4 na la 3 wa 4. kama nane. ila alikuwa anazungukwa na kijii. kwenye goli la pili mtangazaji alikuwa anahesabu watu 6 wamemzunguka.Mkuu ktk hayo magoli mawili' ni 10 players aliwatoka sindio? Au sijaona vizuri!!!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Niliwahi kui-delete...ni ya babu wenger wakimvalisha jacket alaf kakondeana kweli-kweli...
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Hubu itume tena.
kwenye goli la 2 walikuwa wa 4 na la 3 wa 4. kama nane. ila alikuwa anazungukwa na kijii. kwenye goli la pili mtangazaji alikuwa anahesabu watu 6 wamemzunguka.
Kuna clip ya You tube ya kiarabu wakati Messi anawapanga one after the other back ya Espanyol-mtangazaji anasema allah,allah,allah,allah na mara Suarez ku bury ile rebound ya kipa,mike ikaanguka kwa kishindo. Blip ya Barca imekwisha na sasa ni full steam ahead. Magazine za Spain zinasema ule uchezaji wa Barca ni "Poetry in Motion"
messi has the most trophies, the most ballon d'ors, most outstanding goals, most show stopping nutmegs, most incredible dribles, most amazing skills, most stunt assists!mkuu umemaliza kila kitu!
wakati wao wanahangaika kupiga chenga kijiji, mnyama cr7 anaendelea kujikusanyia makombe tuu
wanasema wale jamaa eti walikuwa wanakabia kwetu kama sociedad. hawakujua kuwa counter na pasi ndefu tunaziweza (goli la kwanza). kuanzia sasa ni full steam ahead.Kuna clip ya You tube ya kiarabu wakati Messi anawapanga one after the other back ya Espanyol-mtangazaji anasema allah,allah,allah,allah na mara Suarez ku bury ile rebound ya kipa,mike ikaanguka kwa kishindo. Blip ya Barca imekwisha na sasa ni full steam ahead. Magazine za Spain zinasema ule uchezaji wa Barca ni "Poetry in Motion"