FC Barcelona (Barça or Blaugrana) | Special Thread

1f2691c4b60851332d74605d53e081f6.jpg
tunazungumzia individual skills, siyo makombe. kwa uwezo binafsi Cr& hata Neymar hamgusi. uliona jana alivyokuwa anapita katikati ya mabeki?
 
Kama unautendea haki mpira wa miguu.....huwezi kabisa kulinganisha uwezo wa messi na ronaldo.

Messi ni mchawi/ kama si binadamu vile.
 
tehetehetehetehe chenga twawala,; so what?
cr7 anaendelea kuvunja marekodi na marekodi nyie endeleeni kusifia chenga
 
Kama unautendea haki mpira wa miguu.....huwezi kabisa kulinganisha uwezo wa messi na ronaldo.

Messi ni mchawi/ kama si binadamu vile.
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Eti ni mchawi!!!
 
  • Thanks
Reactions: PNC
Kuna clip ya You tube ya kiarabu wakati Messi anawapanga one after the other back ya Espanyol-mtangazaji anasema allah,allah,allah,allah na mara Suarez ku bury ile rebound ya kipa,mike ikaanguka kwa kishindo. Blip ya Barca imekwisha na sasa ni full steam ahead. Magazine za Spain zinasema ule uchezaji wa Barca ni "Poetry in Motion"
 
Jack...Watangazaji wa kiarabu ni noma aise huwa nafurahia utangazaji wao hata kama lugha inanipiga chenga lakinii...ila wazungu hamna kitu ni wabaridi mno, so kama una Bein sport au Abu dhabi ni raha tupu...fungua hiki kipande kidogo umsikie😀😀
 
Attachments

mkuu umemaliza kila kitu!

wakati wao wanahangaika kupiga chenga kijiji, mnyama cr7 anaendelea kujikusanyia makombe tuu
cc833b92854a019638ad592efd7c7880.jpg
messi has the most trophies, the most ballon d'ors, most outstanding goals, most show stopping nutmegs, most incredible dribles, most amazing skills, most stunt assists!
Ronaldo will always be second best as long as messi is still alive.
Leonel Andres Messi is not the best player in the world, he is the best player of the entire solar system!
 
Kuna clip ya You tube ya kiarabu wakati Messi anawapanga one after the other back ya Espanyol-mtangazaji anasema allah,allah,allah,allah na mara Suarez ku bury ile rebound ya kipa,mike ikaanguka kwa kishindo. Blip ya Barca imekwisha na sasa ni full steam ahead. Magazine za Spain zinasema ule uchezaji wa Barca ni "Poetry in Motion"
wanasema wale jamaa eti walikuwa wanakabia kwetu kama sociedad. hawakujua kuwa counter na pasi ndefu tunaziweza (goli la kwanza). kuanzia sasa ni full steam ahead.
Full_Steam_Ahead_%286117787305%29.jpg
 
Back
Top Bottom