HahahaMkishika namba 3 mtanistua[emoji13]
Tumeshinda mechi nane mfululizoPogba hakusikitishi[emoji23]
HeheheeTutachukua treble mwaka huu....ni maneno yanayojirudia sana kwenye Uzi huu ila nina imani yatapungua sana
Ile faul garbage keepr ndio alichangiaMessi never seizes to amaze the world.
Lile faulo sio la dunia hii asee.
tulikuwa tunasubiri haters mpigepige makelele kukitulia tuje kujadili technical issues.[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hawa ni wale mashabiki uchwara timu ikifungwa wana kimbia
hiyo timu haifungiki kirahisi. imefungwa goli 12 tu. kwahiyo hizo takwimu siyo za kushangaa.POSSESSION: 30% - 70% SHOTS ON GOAL: 6 - 20 OFFSIDES: 2 - 2 CORNERS: 2 - 4 INTERCEPTIONS: 10
Timu lenu halina Plan B, mjiongeze bas
Kilichobaki ni kushangilia free kicks za messi tu, timu yenyewe haishindi [emoji28][emoji28]
alizingua?yule gomes jinga kabisa unaweka nje denis suarez unaacha ndani gomes
U mean Madrid right?lisikupe shida hata porojo nyingi unazozisikia cos wamezoea kuona Barcelona always anashinda !!kila team ina high na low peaksjamaa wakila kila kiporo chao na Valencia watatuacha point 8. maishaa yetu magumu sana.
View attachment 456605
Kati ya vitu ambavyo sivipendi na vimetuangusha hadi na wana mtandao wa Barcelona duniani wanalaumu ni transfer ya Andres Gomes eti nasikia jamaa ni striker[emoji28][emoji28] hadi leo hii hajatufungia goli hata moja kwenye official match hata stats zake mbaya. !!yule gomes jinga kabisa unaweka nje denis suarez unaacha ndani gomes
Hahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.Trust me mwaka huu tunachukua laliga tena,Madrid atayumba sana mwezi wa 2-3 cos hawana kikosi kikubwa cha teplacement kama catalans!!
Tuta win tremble mwaka huu tena
Bro ulikimbia jana najua leo umeamka safi.tulikuwa tunasubiri haters mpigepige makelele kukitulia tuje kujadili technical issues.
We akili yako sio nzuri mwaka 2015-206 tumechukua Laliga wakati Messi amekaa injured miezi miwili na nusu na hata tulipowapiga 4-0 Messi aliingia kama substution!!na amerudi tukaendelea kucheza match 43 bila kufungwa nyie hata match 30 za ushindi hamjafikisha mmeshaona mmeshinda Laliga?utakuja kuniambia hapa mwisho wa msimu nani bingwaHahaaaaaaa, hii ndio comment kichekesho kabisa kuwahi kutokea.. Unaonesha ni jinsi gani ulivyo clueless kwenye mpira.. Kwa taarifa yako tu zidane karudia kikosi Mara moja tu. Timu imeshinda mechi ngumu na muhimu bila kua na wachezaji wenye majina kama Ronaldo,Benzema,Bale,Ramos,Ton na wengineo.. Tena mechi nyingine wote wakiwa hawapo kwa pamoja.. Baca Ina kikosi gani kikubwa? Wajaribu tu kucheza bila Mess tu achilia mbali the front 3 alafu uje kuongea.
Mli ishia mechi 39 tu bila kufungwa.We akili yako sio nzuri mwaka 2015-206 tumechukua Laliga wakati Messi amekaa injured miezi miwili na nusu na hata tulipowapiga 4-0 Messi aliingia kama substution!!na amerudi tukaendelea kucheza match 43 bila kufungwa nyie hata match 30 za ushindi hamjafikisha mmeshaona mmeshinda Laliga?utakuja kuniambia hapa mwisho wa msimu nani bingwa
kwakweli naanza kutilia shaka uwezo wa Enrique.Bro ulikimbia jana najua leo umeamka safi.
Naona kocha wenu kama kawaida sub zake zile zile, mipango ile ile mna subiri tu faul za Messi basi ndio muambilie chochote